Native Bible

Luke 1:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Maria akasema: “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,

Luke 1:46 in English

Luke 1:46 · Berean Standard Bible

Then Mary said: “My soul magnifies the Lord,

Context

44Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliyeko tumboni mwangu aliruka kwa furaha. 45Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.” 46Naye Maria akasema: “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 47nayo roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu, 48kwa kuwa ameangalia kwa fadhili unyonge wa mtumishi wake. Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.