Luka 1:45
Luke 1:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.”
Luke 1:45 in English
Luke 1:45 · Berean Standard Bible
Blessed is she who has believed that the Lord’s word to her will be fulfilled.”
Context
43Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu? 44Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliyeko tumboni mwangu aliruka kwa furaha. 45Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.” 46Naye Maria akasema:
“Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 47nayo roho yangu inamfurahia
Mungu Mwokozi wangu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.