Native Bible

Leviticus 24:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mchukue huyo aliyekufuru nje ya kambi. Wale wote waliomsikia akikufuru wataweka mikono juu ya kichwa chake, kisha kusanyiko lote litampiga mawe.

Leviticus 24:14 in English

Leviticus 24:14 · Berean Standard Bible

“Take the blasphemer * outside the camp, and have all who heard him lay their hands on his head; then have the whole assembly stone him.

Context

12Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya Bwana yawe wazi kwao. 13Ndipo Bwana akamwambia Mose: 14“Mchukue huyo aliyekufuru nje ya kambi. Wale wote waliomsikia akikufuru wataweka mikono juu ya kichwa chake, kisha kusanyiko lote litampiga mawe. 15Waambie Waisraeli: ‘Ikiwa mtu yeyote atamlaani Mungu wake, atakuwa na hatia kwa uovu wake; 16yeyote atakayekufuru Jina la Bwana ni lazima auawe. Kusanyiko lote litampiga kwa mawe. Iwe ni mgeni au mzawa, atakapolikufuru Jina la Bwana, ni lazima auawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.