Native Bible

Leviticus 24:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waambie Waisraeli: ‘Ikiwa mtu yeyote atamlaani Mungu wake, atakuwa na hatia kwa uovu wake;

Leviticus 24:15 in English

Leviticus 24:15 · Berean Standard Bible

And you are to tell the Israelites, ‘If anyone curses his God, he shall bear the consequences of his sin.

Context

13Ndipo Bwana akamwambia Mose: 14“Mchukue huyo aliyekufuru nje ya kambi. Wale wote waliomsikia akikufuru wataweka mikono juu ya kichwa chake, kisha kusanyiko lote litampiga mawe. 15Waambie Waisraeli: ‘Ikiwa mtu yeyote atamlaani Mungu wake, atakuwa na hatia kwa uovu wake; 16yeyote atakayekufuru Jina la Bwana ni lazima auawe. Kusanyiko lote litampiga kwa mawe. Iwe ni mgeni au mzawa, atakapolikufuru Jina la Bwana, ni lazima auawe. 17“ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.