Walawi 22:31
Leviticus 22:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana.
Leviticus 22:31 in English
Leviticus 22:31 · Berean Standard Bible
You are to keep My commandments and practice them. I am the LORD.
Context
29“Unapomtolea Bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako. 30Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana. 31“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana. 32Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Bwana ninayewafanya watakatifu, 33na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.