Native Bible

Leviticus 22:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Bwana.”

Leviticus 22:33 in English

Leviticus 22:33 · Berean Standard Bible

who brought you out of the land of Egypt to be your God. I am the LORD.”

Context

31“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana. 32Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Bwana ninayewafanya watakatifu, 33na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.