Native Bible

Leviticus 22:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Bwana ninayewafanya watakatifu,

Leviticus 22:32 in English

Leviticus 22:32 · Berean Standard Bible

You must not profane My holy name. I must be acknowledged as holy among the Israelites. I am the LORD who sanctifies you,

Context

30Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana. 31“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana. 32Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Bwana ninayewafanya watakatifu, 33na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.