Walawi 22:30
Leviticus 22:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana.
Leviticus 22:30 in English
Leviticus 22:30 · Berean Standard Bible
It must be eaten that same day. Do not leave any of it until morning. I am the LORD.
Context
28Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja. 29“Unapomtolea Bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako. 30Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana. 31“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana. 32Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Bwana ninayewafanya watakatifu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.