Walawi 22:29
Leviticus 22:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Unapomtolea Bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako.
Leviticus 22:29 in English
Leviticus 22:29 · Berean Standard Bible
When you sacrifice a thank offering to the LORD, offer it so that it may be acceptable on your behalf.
Context
27“Wakati ndama, mwana-kondoo au mwana-mbuzi azaliwapo, atabaki na mama yake kwa siku saba. Kuanzia siku ya nane na kuendelea anaweza kukubaliwa kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto. 28Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja. 29“Unapomtolea Bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako. 30Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana. 31“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.