Native Bible

Leviticus 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.

Leviticus 22:28 in English

Leviticus 22:28 · Berean Standard Bible

But you must not slaughter an ox * or a sheep on the same day as its young.

Context

26Bwana akamwambia Mose, 27“Wakati ndama, mwana-kondoo au mwana-mbuzi azaliwapo, atabaki na mama yake kwa siku saba. Kuanzia siku ya nane na kuendelea anaweza kukubaliwa kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto. 28Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja. 29“Unapomtolea Bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako. 30Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.