Walawi 22:26
Leviticus 22:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Leviticus 22:26 in English
Leviticus 22:26 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
24Kamwe usimtolee Bwana mnyama ambaye mapumbu yake yamejeruhiwa, au kuhasiwa, au kuraruliwa au kukatwa. Kamwe usifanye hivi katika nchi yako mwenyewe, 25na kamwe usikubali wanyama wa aina hii kutoka mkono wa mgeni ili kuwatoa wanyama hao kuwa chakula kwa Mungu wako. Wanyama hao hawatakubaliwa kwa niaba yako, kwa sababu wana vilema, nao wana dosari.’ ” 26Bwana akamwambia Mose, 27“Wakati ndama, mwana-kondoo au mwana-mbuzi azaliwapo, atabaki na mama yake kwa siku saba. Kuanzia siku ya nane na kuendelea anaweza kukubaliwa kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto. 28Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.