Walawi 14:55
Leviticus 14:55 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
upele ndani ya nguo au ndani ya nyumba,
Leviticus 14:55 in English
Leviticus 14:55 · Berean Standard Bible
for mildew in clothing or in a house,
Context
53Kisha atamwachia yule ndege aliye hai huru mashambani nje ya mji. Kwa njia hii atafanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ile, nayo itakuwa safi.” 54Haya ndiyo masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wowote, 55upele ndani ya nguo au ndani ya nyumba, 56kwa uvimbe, vipele au kipaku kingʼaacho, 57kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi.
Haya ndiyo masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na upele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.