Walawi 14:54
Leviticus 14:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haya ndiyo masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wowote,
Leviticus 14:54 in English
Leviticus 14:54 · Berean Standard Bible
This is the law for any infectious skin disease, for a scaly outbreak,
Context
52Ataitakasa nyumba kwa damu ya yule ndege, maji safi, ndege aliye hai, mti wa mwerezi, hisopo na kitani nyekundu. 53Kisha atamwachia yule ndege aliye hai huru mashambani nje ya mji. Kwa njia hii atafanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ile, nayo itakuwa safi.” 54Haya ndiyo masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wowote, 55upele ndani ya nguo au ndani ya nyumba, 56kwa uvimbe, vipele au kipaku kingʼaacho,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.