Native Bible

Leviticus 14:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa uvimbe, vipele au kipaku kingʼaacho,

Leviticus 14:56 in English

Leviticus 14:56 · Berean Standard Bible

and for a swelling, rash, or spot,

Context

54Haya ndiyo masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wowote, 55upele ndani ya nguo au ndani ya nyumba, 56kwa uvimbe, vipele au kipaku kingʼaacho, 57kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi. Haya ndiyo masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na upele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.