Native Bible

Leviticus 14:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi. Haya ndiyo masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na upele.

Leviticus 14:57 in English

Leviticus 14:57 · Berean Standard Bible

to determine when something is clean or unclean. This is the law regarding skin diseases and mildew.*”

Context

55upele ndani ya nguo au ndani ya nyumba, 56kwa uvimbe, vipele au kipaku kingʼaacho, 57kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi. Haya ndiyo masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na upele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.