Native Bible

Leviticus 11:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi.

Leviticus 11:21 in English

Leviticus 11:21 · Berean Standard Bible

However, you may eat the following kinds of flying insects that walk on all fours: those having jointed legs above their feet for hopping on the ground.

Context

19korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo. 20“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu. 21Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi. 22Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi. 23Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.