Walawi 11:22
Leviticus 11:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.
Leviticus 11:22 in English
Leviticus 11:22 · Berean Standard Bible
Of these you may eat any kind of locust, katydid, cricket, or grasshopper.
Context
20“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu. 21Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi. 22Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi. 23Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu. 24“ ‘Mtajinajisi kwa wanyama hawa. Yeyote agusaye mizoga yao atakuwa najisi mpaka jioni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.