Native Bible

Leviticus 11:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu.

Leviticus 11:23 in English

Leviticus 11:23 · Berean Standard Bible

All other flying insects that have four legs are detestable to you.

Context

21Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi. 22Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi. 23Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu. 24“ ‘Mtajinajisi kwa wanyama hawa. Yeyote agusaye mizoga yao atakuwa najisi mpaka jioni. 25Yeyote atakayebeba mizoga ya viumbe hawa ni lazima afue nguo zake, naye atakuwa najisi mpaka jioni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.