Walawi 11:20
Leviticus 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu.
Leviticus 11:20 in English
Leviticus 11:20 · Berean Standard Bible
All flying insects that walk on all fours are detestable to you.
Context
18mumbi, mwari, nderi, 19korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo. 20“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu. 21Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi. 22Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.