Walawi 11:19
Leviticus 11:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo.
Leviticus 11:19 in English
Leviticus 11:19 · Berean Standard Bible
the stork, any kind of heron, the hoopoe, and the bat.
Context
17bundi, mnandi, bundi mkubwa, 18mumbi, mwari, nderi, 19korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo. 20“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu. 21Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.