Native Bible

Lamentations 3:65 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Weka pazia juu ya mioyo yao, laana yako na iwe juu yao!

Lamentations 3:65 in English

Lamentations 3:65 · Berean Standard Bible

Put a veil of anguish over their hearts; may Your curse be upon them!

Context

63Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, wananidhihaki katika nyimbo zao. 64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 65Weka pazia juu ya mioyo yao, laana yako na iwe juu yao! 66Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.