Maombolezo 3:64
Lamentations 3:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, kwa yale ambayo mikono yao imetenda.
Lamentations 3:64 in English
Lamentations 3:64 · Berean Standard Bible
You will pay them back what they deserve, O LORD, according to the work of their hands.
Context
62kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia
dhidi yangu mchana kutwa. 63Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama,
wananidhihaki katika nyimbo zao. 64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana,
kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 65Weka pazia juu ya mioyo yao,
laana yako na iwe juu yao! 66Wafuatilie katika hasira na uwaangamize
kutoka chini ya mbingu za Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.