Native Bible

Lamentations 3:63 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, wananidhihaki katika nyimbo zao.

Lamentations 3:63 in English

Lamentations 3:63 · Berean Standard Bible

When they sit and when they rise, see how they mock me in song.

Context

61Ee Bwana, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: 62kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia dhidi yangu mchana kutwa. 63Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, wananidhihaki katika nyimbo zao. 64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 65Weka pazia juu ya mioyo yao, laana yako na iwe juu yao!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.