Maombolezo 3:61
Lamentations 3:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:
Lamentations 3:61 in English
Lamentations 3:61 · Berean Standard Bible
O LORD, You have heard their insults, all their plots against me—
Context
59Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa.
Tetea shauri langu! 60Umeona kina cha kisasi chao,
mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. 61Ee Bwana, umesikia matukano yao,
mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: 62kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia
dhidi yangu mchana kutwa. 63Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama,
wananidhihaki katika nyimbo zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.