Maombolezo 3:59
Lamentations 3:59 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa. Tetea shauri langu!
Lamentations 3:59 in English
Lamentations 3:59 · Berean Standard Bible
You have seen, O LORD, the wrong done to me; vindicate my cause!
Context
57Ulikuja karibu nilipokuita,
nawe ukasema, “Usiogope.” 58Ee Bwana, ulichukua shauri langu,
ukaukomboa uhai wangu. 59Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa.
Tetea shauri langu! 60Umeona kina cha kisasi chao,
mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. 61Ee Bwana, umesikia matukano yao,
mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.