Maombolezo 3:60
Lamentations 3:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umeona kina cha kisasi chao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu.
Lamentations 3:60 in English
Lamentations 3:60 · Berean Standard Bible
You have seen all their malice, all their plots against me.
Context
58Ee Bwana, ulichukua shauri langu,
ukaukomboa uhai wangu. 59Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa.
Tetea shauri langu! 60Umeona kina cha kisasi chao,
mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. 61Ee Bwana, umesikia matukano yao,
mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: 62kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia
dhidi yangu mchana kutwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.