Native Bible

Lamentations 3:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za Bwana.

Lamentations 3:66 in English

Lamentations 3:66 · Berean Standard Bible

You will pursue them in anger and exterminate them from under Your heavens, O LORD.

Context

64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 65Weka pazia juu ya mioyo yao, laana yako na iwe juu yao! 66Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.