Native Bible

Joshua 21:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

Joshua 21:22 in English

Joshua 21:22 · Berean Standard Bible

Kibzaim, and Beth-horon—four cities, together with their pasturelands.

Context

20Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu: 21Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji mkubwa wa makimbilio kwa yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji) na Gezeri, 22Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 23Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni, 24Aiyaloni na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.