Native Bible

Joshua 21:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu:

Joshua 21:20 in English

Joshua 21:20 · Berean Standard Bible

The remaining Kohathite clans of the Levites were allotted these cities: From the tribe of Ephraim

Context

18Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 19Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Aroni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. 20Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu: 21Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji mkubwa wa makimbilio kwa yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji) na Gezeri, 22Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.