Yoshua 21:18
Joshua 21:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Joshua 21:18 in English
Joshua 21:18 · Berean Standard Bible
Anathoth, and Almon—four cities, together with their pasturelands.
Context
16Aini, Yuta na Beth-Shemeshi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji tisa kutoka kwa makabila haya mawili. 17Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba, 18Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 19Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Aroni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. 20Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.