Native Bible

Joshua 21:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba,

Joshua 21:17 in English

Joshua 21:17 · Berean Standard Bible

And from the tribe of Benjamin they gave them Gibeon, Geba,

Context

15Holoni, Debiri, 16Aini, Yuta na Beth-Shemeshi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji tisa kutoka kwa makabila haya mawili. 17Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba, 18Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 19Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Aroni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.