Yoshua 21:19
Joshua 21:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Aroni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.
Joshua 21:19 in English
Joshua 21:19 · Berean Standard Bible
In all, thirteen cities, together with their pasturelands, were given to the priests, the descendants of Aaron.
Context
17Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba, 18Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 19Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Aroni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. 20Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu: 21Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji mkubwa wa makimbilio kwa yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji) na Gezeri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.