Yoshua 21:23
Joshua 21:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni,
Joshua 21:23 in English
Joshua 21:23 · Berean Standard Bible
From the tribe of Dan they were given Elteke, Gibbethon,
Context
21Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji mkubwa wa makimbilio kwa yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji) na Gezeri, 22Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 23Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni, 24Aiyaloni na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne 25Kutoka nusu ya kabila la Manase, wakapokea Taanaki na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.