Yoshua 21:24
Joshua 21:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aiyaloni na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne
Joshua 21:24 in English
Joshua 21:24 · Berean Standard Bible
Aijalon, and Gath-rimmon—four cities, together with their pasturelands.
Context
22Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 23Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni, 24Aiyaloni na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne 25Kutoka nusu ya kabila la Manase, wakapokea Taanaki na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili. 26Miji yote hii kumi pamoja na sehemu zake za malisho ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.