Native Bible

Joshua 10:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda.

Joshua 10:16 in English

Joshua 10:16 · Berean Standard Bible

Now the five kings had fled and hidden in the cave at Makkedah.

Context

14Haijakuwepo siku nyingine kama hiyo kabla au baada, siku ambayo Bwana alimsikiliza mwanadamu. Hakika Bwana alikuwa akiwapigania Israeli. 15Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Israeli yote. 16Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda. 17Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda, 18akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.