Yoshua 10:17
Joshua 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,
Joshua 10:17 in English
Joshua 10:17 · Berean Standard Bible
And Joshua was informed: “The five kings have been found; they are hiding in the cave at Makkedah.”
Context
15Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Israeli yote. 16Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda. 17Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda, 18akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda. 19Lakini msiwaache! Wafuatieni adui zenu, washambulieni kutoka nyuma, wala msiwaache wafike kwenye miji yao, kwa kuwa Bwana Mungu wenu amewatia mkononi mwenu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.