Yoshua 10:15
Joshua 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Israeli yote.
Joshua 10:15 in English
Joshua 10:15 · Berean Standard Bible
Then Joshua returned with all Israel to the camp at Gilgal.
Context
13Hivyo jua likasimama,
nao mwezi ukatulia,
hadi taifa hilo lilipokwisha
kujilipizia kisasi kwa adui wake,
kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Yashari.
Jua likasimama kimya katikati ya mbingu, likachelewa kuzama muda wa siku moja nzima. 14Haijakuwepo siku nyingine kama hiyo kabla au baada, siku ambayo Bwana alimsikiliza mwanadamu. Hakika Bwana alikuwa akiwapigania Israeli. 15Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Israeli yote. 16Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda. 17Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.