Native Bible

Joel 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yuda itakaliwa na watu milele na Yerusalemu itadumu vizazi vyote.

Joel 3:20 in English

Joel 3:20 · Berean Standard Bible

But Judah will be inhabited forever, and Jerusalem from generation to generation.

Context

18“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa; mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana na kunywesha Bonde la Shitimu.* 19Lakini Misri itakuwa ukiwa, Edomu itakuwa jangwa tupu, kwa sababu ya jeuri waliofanya kwa watu wa Yuda, ambao katika nchi yao walimwaga damu isiyo na hatia. 20Yuda itakaliwa na watu milele na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 21Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, nitasamehe.” Bwana anakaa Sayuni!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.