Native Bible

Joel 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, nitasamehe.” Bwana anakaa Sayuni!

Joel 3:21 in English

Joel 3:21 · Berean Standard Bible

For I will avenge their blood, which I have not yet avenged.*” For the LORD dwells in Zion.

Context

19Lakini Misri itakuwa ukiwa, Edomu itakuwa jangwa tupu, kwa sababu ya jeuri waliofanya kwa watu wa Yuda, ambao katika nchi yao walimwaga damu isiyo na hatia. 20Yuda itakaliwa na watu milele na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 21Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, nitasamehe.” Bwana anakaa Sayuni!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.