Native Bible

Job 9:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Asingeniacha nipumue bali angenifunika kabisa na huzuni kuu.

Job 9:18 in English

Job 9:18 · Berean Standard Bible

He does not let me catch my breath, but overwhelms me with bitterness.

Context

16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, siamini kama angenisikiliza. 17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 18Asingeniacha nipumue bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.