Ayubu 9:17
Job 9:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye angeniangamiza kwa dhoruba na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu.
Job 9:17 in English
Job 9:17 · Berean Standard Bible
For He would crush me with a tempest and multiply my wounds without cause.
Context
15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu;
ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie. 16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali,
siamini kama angenisikiliza. 17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba
na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 18Asingeniacha nipumue
bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu!
Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.