Native Bible

Job 9:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu; ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie.

Job 9:15 in English

Job 9:15 · Berean Standard Bible

For even if I were right, I could not answer. I could only beg my Judge for mercy.

Context

13Mungu hataizuia hasira yake; hata jeshi kubwa la Rahabu* lenye nguvu linajikunyata miguuni pake. 14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye? Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye? 15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu; ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie. 16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, siamini kama angenisikiliza. 17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.