Ayubu 9:14
Job 9:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye? Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye?
Job 9:14 in English
Job 9:14 · Berean Standard Bible
How then can I answer Him or choose my arguments against Him?
Context
12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia?
Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’ 13Mungu hataizuia hasira yake;
hata jeshi kubwa la Rahabu* lenye nguvu
linajikunyata miguuni pake. 14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye?
Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye? 15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu;
ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie. 16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali,
siamini kama angenisikiliza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.