Native Bible

Job 9:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu hataizuia hasira yake; hata jeshi kubwa la Rahabu* lenye nguvu linajikunyata miguuni pake.

Job 9:13 in English

Job 9:13 · Berean Standard Bible

God does not restrain His anger; the helpers of Rahab cower beneath Him.

Context

11Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; apitapo mbele yangu, simtambui. 12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia? Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’ 13Mungu hataizuia hasira yake; hata jeshi kubwa la Rahabu* lenye nguvu linajikunyata miguuni pake. 14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye? Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye? 15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu; ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.