Native Bible

Job 9:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia? Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’

Job 9:12 in English

Job 9:12 · Berean Standard Bible

If He takes away,* who can stop Him? Who dares to ask Him, ‘What are You doing?’

Context

10Hutenda maajabu yasiyopimika, miujiza isiyoweza kuhesabiwa. 11Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; apitapo mbele yangu, simtambui. 12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia? Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’ 13Mungu hataizuia hasira yake; hata jeshi kubwa la Rahabu* lenye nguvu linajikunyata miguuni pake. 14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye? Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.