Native Bible

Job 9:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hutenda maajabu yasiyopimika, miujiza isiyoweza kuhesabiwa.

Job 9:10 in English

Job 9:10 · Berean Standard Bible

He does great things beyond searching out, and wonders without number.

Context

8Yeye peke yake huzitandaza mbingu na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 9Yeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu,* na Orioni,* Kilimia,* na makundi ya nyota za kusini. 10Hutenda maajabu yasiyopimika, miujiza isiyoweza kuhesabiwa. 11Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; apitapo mbele yangu, simtambui. 12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia? Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.