Native Bible

Job 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye peke yake huzitandaza mbingu na kuyakanyaga mawimbi ya bahari.

Job 9:8 in English

Job 9:8 · Berean Standard Bible

He alone stretches out the heavens and treads on the waves of the sea.

Context

6Aitikisa dunia kutoka mahali pake na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. 7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; naye huizima mianga ya nyota. 8Yeye peke yake huzitandaza mbingu na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 9Yeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu,* na Orioni,* Kilimia,* na makundi ya nyota za kusini. 10Hutenda maajabu yasiyopimika, miujiza isiyoweza kuhesabiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.