Native Bible

Job 9:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aitikisa dunia kutoka mahali pake na kuzifanya nguzo zake zitetemeke.

Job 9:6 in English

Job 9:6 · Berean Standard Bible

He shakes the earth from its place, so that its foundations tremble.

Context

4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 5Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake. 6Aitikisa dunia kutoka mahali pake na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. 7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; naye huizima mianga ya nyota. 8Yeye peke yake huzitandaza mbingu na kuyakanyaga mawimbi ya bahari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.