Ayubu 9:7
Job 9:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; naye huizima mianga ya nyota.
Job 9:7 in English
Job 9:7 · Berean Standard Bible
He commands the sun not to shine;* He seals off the stars.
Context
5Aiondoa milima bila yenyewe kujua
na kuipindua kwa hasira yake. 6Aitikisa dunia kutoka mahali pake
na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. 7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza;
naye huizima mianga ya nyota. 8Yeye peke yake huzitandaza mbingu
na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 9Yeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu,* na Orioni,*
Kilimia,* na makundi ya nyota za kusini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.