Native Bible

Job 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake.

Job 9:5 in English

Job 9:5 · Berean Standard Bible

He moves mountains without their knowledge and overturns them in His anger.

Context

3Ingawa mtu angetaka kushindana naye, asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja. 4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 5Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake. 6Aitikisa dunia kutoka mahali pake na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. 7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza; naye huizima mianga ya nyota.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.